Black & Blue
Black Blue ni albamu ya Backstreet Boys iliyotolewa baada ya albamu ya Millenium. Hii ni albamu yao ya nne (lakini albumu yao ya tatu kutolewa nchini Marekani). Huko nchini Marekani, Black & Blue iliuza nakala milioni 1.6 katika wiki yake ya kwanza ya kutolewa, [1] na kuifanya kundi la kwanza katika historia ya SoundScan iliyouza zaidi ya nakala milioni moja kwenye wiki ya kwanza.
Black & Blue | |||||
---|---|---|---|---|---|
Kasha ya alabamu ya Black & Blue.
|
|||||
Studio album ya Backstreet Boys | |||||
Imetolewa | 21 Novemba 2000 | ||||
Imerekodiwa | 1 Julai 2000 | ||||
Aina | Pop, R&B, Power pop, Dance | ||||
Urefu | 45:55 | ||||
Lugha | Kiingereza | ||||
Lebo | Jive | ||||
Mtayarishaji | Max Martin, Kristian Lundin, Rodney Jerkins, Rami, Kenneth "Babyface" Edmonds, Per Magnusson, David Kreuger | ||||
Tahakiki za kitaalamu | |||||
Wendo wa albamu za Backstreet Boys | |||||
|
|||||
Single za kutoka katika albamu ya {{{Jina}}} | |||||
|
Albamu hii ilirikodi mauzo bora ya kimataifa katika wiki ya kwanzaa kwa kuuza zaidi ya nakala milioni 5 kote duniani katika wiki yake ya kwanza ya mauzo.Albamu ilikuwa namba ya nane kwenye orodha ya albamu za mauzo bora [2]nchini Marekani mwaka wa 2000. Albamu hii ilithibitishwa platinum katika zaidi ya nchi 30 na ya dhahabu katika mikoa 10 kote duniani kwenye wiki yake ya kwanza. Ingawa ilipata mauzo bora, Black na Blue haikufikia mafanikio ya albamu mbili zao za awali. Single ya kwanza ya albamu hii ilikuwa "Shape of My Heart", ilifuatiwa na "The Call" na "More Than That." Wanachama wa bendi hii waliandika nyimbo tanokatika albamu hii. Black & Blue iliuza albamu milioni 24 kote duniani.
Nyimbo zake
hariri- "The Call" (Max Martin, Rami) - 3:24
- "Shape of My Heart" (Max Martin, Lisa Miskovsky, Rami) - 3:50
- "Get Another Boyfriend" (Max Martin, Rami) - 3:08
- "Shining Star" (Carter, Dorough, Jernberg, Wennerberg) - 3:26
- "I Promise You (With Everything I Am)" (Hill) - 4:25
- "The Answer To Our Life" (Carter, Dorough, Littrell, McLean, Richardson) - 3:20
- "Everyone" (Kristian Lundin, Andreas Carlsson) - 3:33
- "More Than That" (Anders, Jernberg, Wennerberg) - 3:44
- "Time" (Carter, Dorough, Littrell, McLean, Richardson) - 3:58
- "Not For Me" (Kristian Lundin, Andreas Carlsson) - 3:18
- "Yes, I Will" (Kieruf, McLean, Schwartz) - 3:52
- "It's True" (Richardson, Martin, Carlsson) - 4:16
- "How Did I Fall In Love With You?" (Howie Dorough, Fromm, MacColl) - 4:06
- Nyimbo za ziada
- "What Makes You Different (Makes You Beautiful)" (Dorough, Diamond, Carlsson) - 3:35
- "All I Have To Give (Acapella)" (Full Force) - 3:48
Chati
haririAlbum
Chati | Namba | Thibitisho | Mauzo |
---|---|---|---|
Argentinian Albums Chart | 40,000 | ||
Australian Albums Chart | 2 | Platinum | 100,000 |
Austrian Albums Chart | Platinum | 10,000 | |
Brazilian Albums Chart | Platinum | 250,000 | |
Canadian Albums Chart | 1 | Diamond | 1,000,000 |
European Albums Chart | 1 | 2x Platinum | 2,000,000 |
Finnish Albums Chart | 30,000 | ||
French Albums Chart | |||
German Albums Chart | 1 | Platinum | 1,000,000 |
Mexican Albums Chart | 2x Platinum | 500,000 | |
Norwegian Albums Chart | Gold | 15,000 | |
Polish Albums Chart | 15,000 | ||
UK Albums Chart | Gold | 100,000 | |
U.S. Billboard 200 | 1 | 8x Platinum | 8,000,000 |
Marejeo
hariri- ↑ Flashback 2000 - Flashback 2000: 'N Sync, Britney, Eminem, na Backstreet Boys Set Sales Records
- ↑ "Top 200 Albamu ya mwaka 2000!". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2001-03-31. Iliwekwa mnamo 2001-03-31.
Viungo vya Nje
hariri- Madonna Tovuti rasmi Archived 6 Oktoba 2009 at the Wayback Machine.
- Mengine Madonna Tovuti Rasmi Archived 6 Oktoba 2009 at the Wayback Machine.