Black Sheep
Black Sheep ni kundi la hip hop linalounganishwa na wasanii wawili kutoka mjini Queens, New York. Ndani yake anakuja Andres "Dres" Titus na William "Mista Lawnge" McLean. Wawili hawa wanatokea mjini New York, lakini walikutana wakati wakiwa vijana huko mjini North Carolina, ambapo familia zao zilihamia huko.[1]
Black Sheep | |
---|---|
Dres (left) & Mista Lawnge (right)
| |
Maelezo ya awali | |
Asili yake | Queens/Brooklyn, New York, Marekani |
Miaka ya kazi | 1989–1995 2000– |
Studio | Mercury/PolyGram/Universal |
Ame/Wameshirikiana na | Showbiz and A.G. Chi Ali Native Tongues The Legion |
Wanachama wa sasa | |
Dres Mista Lawnge |
Kundi lilikuwa na uhusiano na Native Tongues, ambamo wakiwa pamoja na Jungle Brothers, A Tribe Called Quest, na De La Soul. Baada ya kuwa pamoja kunako 1989, Black Sheep wakatoa albamu yao ya kwanza mnamo 1991 wakiwa na kibao chao kikali cha "Flavor of the Month" na baadaye kutoa albamu ya kwanza ya A Wolf in Sheep's Clothing, ambapo iliwapatia sifa na umaarufu wa kina katika jumuia nzima ya hip-hop kwa mashairi na albamu yao isio na kifani.
Baada ya miaka sita ya kuwa pamoja, Black Sheep wakatengana mnamo 1995, lakini wakaamua kuungana tena baada ya miaka 5.
Diskografia
haririAlbums
haririMaelezo ya Albamu |
---|
A Wolf in Sheep's Clothing
|
Non-Fiction
|
8WM/Novakane (Dres Solo Project)
|
From The Black Pool of Genius (Dres Solo Album)
|
Single na EP
hariri- "Flavor of the Month" (1991)
- "The Choice Is Yours (Revisited)" (1991)
- imerudiwa na wasanii kibao akiwa pamoja na Trik Turner, Bloodhoud Gang, na kina Deftones
- (Imetumika katika kazi ya 2010 Kia Soul "Rapping Hamsters")
- "Strobelite Honey" (1992)
- "Similak Child" (1992)
- "Without A Doubt" (1994)
- "North South East West" (1995)
- Redlight, Greenlight (EP) (-merekodiwa 2000, Imetolewa 2002)
Video zake
hariri- Black Sheep - Flavor of the Month (1991)
- Black Sheep - The Choice Is Yours (1991)
- Black Sheep - Strobelite Honey (1992)
- Vanessa Williams akiwa na Black Sheep - Work to Do (Remix) (1992)
- Showbiz & A.G ft. Black Sheep - Bounce Ta This (1992)
- Black Sheep - Similak Child (1992)
- The Legion akiwa na Dres - Jingle Jangle (1993)
- Black Sheep - Without a Doubt (1994)
- Black sheep - Work to DO
Marejeo
haririViungo vya Nje
hariri- Dres of Black Sheep interview
- Dres of Black Sheep on Myspace.com
- Mr. Long's (formerly Mista Lawnge) Solo site Archived 18 Agosti 2019 at the Wayback Machine.
- Last Black Sheep Interview as group
- Still Relevant: Dres of Black Sheep Archived 22 Februari 2016 at the Wayback Machine. Aprili 2008, Interview with Hip Hop Lives Online, HHLO.net
- Alternative rapper Dres resurrects Black Sheep Archived 26 Februari 2012 at the Wayback Machine.