Bloemfontein

mji mkuu wa mahakama wa Afrika Kusini

Bloemfontein (tamka: "Blumfontain" - Kiholanzi/Kiafrikaans "chemchemi ya maua") ni kati ya miji mikuu mitatu ya Afrika Kusini pamoja na Pretoria na Cape Town. Jina la Kisotho ni Mangaung linalomaanisha "kwa duma". Bloemfountain ni makao ya Mahakama Kuu ya Afrika Kusini pia mju mkuu wa mkoa wa Vrystaat (au: Free State - "Dola huru").

Muonekano wa Mji wa Bloemfontein


Jiji la Bloemfontein
Jiji la Bloemfontein is located in Afrika Kusini
Jiji la Bloemfontein
Jiji la Bloemfontein

Mahali pa mji wa Bloemfontein katika Afrika Kusini

Majiranukta: 29°9′0″S 26°13′48″E / 29.15000°S 26.23000°E / -29.15000; 26.23000
Nchi Afrika Kusini
Majimbo Dola Huru
Tovuti:  www.bloemfontein.co.za
Bloemfontein wakati wa mchana

Mji uko kwenye uwanja wa juu wenye kimo cha 1,395 m juu ya UB.

Mji mwenyewe una takriban wakazi 500,000. Kuna mji wa pili wa Mangaung wa wakazi 650,000 uliojengwa wakati wa utawala wa ubaguzi wa rangi kwa ajili ya watu weusi.

Tazama pia

hariri

Viungo vya nje

hariri
  Makala hii kuhusu maeneo ya Afrika Kusini bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Bloemfontein kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.


 
WikiMedia Commons
Wikimedia Commons ina media kuhusu: