Bodi
Bodi (kutoka neno la Kiingereza "board") ni kundi la watu walioteuliwa kwa ajili ya kazi maalum na waliopewa majukumu kadha kwa ajili ya ufanisi wake.
Mara nyingi huteuliwa miongoni mwa wajumbe wa kikundi (kikundi kikubwa).
Makala hii kuhusu mambo ya utamaduni bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Bodi kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |