Bogobe jwa logala

uji wa mtama uliochemshwa kwenye maziwa

Bogobe jwa logala ni mlo wa kifungua kinywa unaotengenezwa kama uji wa mtama uliopikwa kwenye maziwa yanayochemka. Mtu anaweza kuongeza sukari au la.

Marejeo

hariri
  Makala hii kuhusu mambo ya utamaduni bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Bogobe jwa logala kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.