Uji ni kinywaji kinachopikwa kwa kuchemsha unga na maji ukawa laini.

Sahani ya uji wa mtama.
Mtoto akipata uji, mchoro wa William Hemsley (1893).

Mara nyingi hupendwa asubuhi na kwa ajili ya watoto na wagonjwa.

Unga unaotumika unaweza kuwa wa mahindi, lakini pia mtama, ulezi, uwele n.k.

Maandalizi ya uji hariri

  • 1. Weka maji kiasi kwenye sufuria au chungu.
  • 2. Weka jikoni.
  • 3. Weka unga kiasi.
  • 4. Acha kwa muda wa dakika moja kisha ukikorogea hivyo hivyo mpaka utakapoona mabuja yametoweka.
  • 5. Acha kwa muda uji uchemke dakika.
  • 6. Epua uji wako, kisha uache upoe.

Uji wako utakuwa tayari kwa kunywa.

  Makala hii kuhusu mambo ya utamaduni bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Uji kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.