Bollnäs
Bollnäs ni mji na manispaa nchini Uswidi. Kuna wakazi 12,455 (mwaka 2005). Mji ulianzishwa 1942.
Jiografia
haririEneo lake ni 12.83 km².
-
Timu ya Hockey katika Bollnäs
-
Ziwa Varpen
-
Kanisa la Bollnäs
Viungo vya nje
hariri- www.bollnas.se Ilihifadhiwa 9 Desemba 2020 kwenye Wayback Machine.
Makala hii kuhusu maeneo ya Uswidi bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Bollnäs kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |