Bonde la mto Breede
Bonde la mto Breede ni bonde la mto lililopo kaskazini mwa Cape Town nchini Afrika Kusini.
Linajulikana kama bonde kubwa zaidi la utengenezaji wa matunda na divai kwa eneo hilo na pia ni eneo linaloongoza kwa ufugaji wa farasi nchini Afrika Kusini.
Marejeo
haririMakala hii kuhusu maeneo ya Afrika Kusini bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Bonde la mto Breede kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |