Bondita Acharya

Mwanaharakati wa haki za binadamu wa India

Bondita Acharya (alizaliwa katika eneo la Jorhat, lililopo katika wilaya ya Assam, Kaskazini mwa nchi ya India, 12 Desemba 1972[1] ) ni mtetezi wa haki za binadamu.[2][3]

Maisha binafsi

hariri

Baba yake alikuwa akiitwa Jogananda Goswami aliyekuwa Mkemia katika chuo cha Jagannath Barooah College na Mama yake aliitwa Marinalini Goswami, aliekuwa mkuu wa shule yaktika shule ya wasichana ya ME Girls School.

Marejeo

hariri
  1. "Bondita Acharya - Centre for Applied Human Rights, The University of York". www.york.ac.uk (kwa Kiingereza). Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2018-05-21. Iliwekwa mnamo 2018-05-21. {{cite web}}: More than one of |accessdate= na |access-date= specified (help); More than one of |archivedate= na |archive-date= specified (help); More than one of |archiveurl= na |archive-url= specified (help)
  2. "Bondita Acharya Receives Death Threats". Front Line Defenders. 2017-04-12.
  3. http://www.easternmirrornagaland.com/a-call-to-be-human-rights-defenders/ Ilihifadhiwa 6 Novemba 2021 kwenye Wayback Machine. |access-date=10 March 2019 }
  Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Bondita Acharya kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.