Bottrop ni mji wa Rhine Kaskazini-Westfalia nchini Ujerumani. Iko kando ya mto Emscher. Idadi ya wakazi wake ni takriban 117.241. Mji ulianzishwa 1092.

Bottrop

Bendera

Nembo
Bottrop is located in Ujerumani
Bottrop
Bottrop

Mahali pa mji wa Bottrop katika Ujerumani

Majiranukta: 51°31′0″N 6°55′0″E / 51.51667°N 6.91667°E / 51.51667; 6.91667
Nchi Ujerumani
Jimbo Rhine Kaskazini-Westfalia
Idadi ya wakazi (2009)
 - Wakazi kwa ujumla 117.241
Tovuti:  www.bottrop.de
Movie Park Germany katika Bottrop

Tazama pia

hariri
 
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
  Makala hii kuhusu maeneo ya Ujerumani bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Bottrop kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.