Braga
Braga (kifupisho cha jina la Kilatini Bracara Augusta) ni mji wa Ureno kaskazini-magharibi. Una wakazi 137,000.[1] Hivyo ni wa saba kati ya miji ya Ureno. Eneo lake ni la km² 183.40 .[2]
Tanbihi
haririViungo vya nje
haririWikimedia Commons ina media kuhusu:
- Information about Braga
- Braga Essential Guide Ilihifadhiwa 7 Februari 2015 kwenye Wayback Machine.
- Braga Portal Ilihifadhiwa 13 Desemba 2006 kwenye Wayback Machine.
- Virtual Braga
- Braga city guide at HitchHikers Handbook Ilihifadhiwa 17 Mei 2014 kwenye Wayback Machine.
Makala hii kuhusu maeneo ya Ureno bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Braga kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |