Brandon Simpson (alizaliwa Florida, Marekani, 6 Septemba 1981) ni mwanariadha anayewakilisha Bahrain, kisha kuwakilisha Jamaika hapo awali.

Alishinda medali ya shaba katika mbio za 4 x 400 za kupokezana vijiti katika mashindano matatu ya dunia mwaka 2001, 2003 na 2005. Alimaliza wa 6 katika shindano la mtu binafsi la mita 400 mnamo 2005, na wa 5 katika Michezo ya Olimpiki mwaka 2004.[1]

Marejeo

hariri
  1. "Brandon Simpson".
  Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Brandon Simpson kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.