Breinigerberg ni kitongoji chenye wakazi 971 ambacho ni sehemu ya mji wa Stolberg (karibu na Eschweiler) uliopo baina ya Köln na Aachen karibu na Uholanzi na Ubelgiji.

Mji wa Breinigerberg


Breinigerberg
Breinigerberg is located in Ujerumani
Breinigerberg
Breinigerberg

Mahali pa katika Ujerumani

Majiranukta: 50°44′00″N 06°14′00″E / 50.73333°N 6.23333°E / 50.73333; 6.23333
Nchi Ujerumani
Jimbo Rhine Kaskazini-Westfalia
Idadi ya wakazi (2009)
 - Wakazi kwa ujumla 971
Tovuti:  http://www.breinig.de/

Viungo vya Nje hariri

  Makala hii kuhusu maeneo ya Ujerumani bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Breinigerberg kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.