Brian Borcherdt (alizaliwa 31 Agosti, 1976) ni mwanamuziki wa Kanada ambaye amekuwa msanii wa kujitegemea na pia mwanachama wa Burnt Black, Trephines, Hot Carl, [By Divine Right] na Holy Fuck bendi, Lids, na Dusted ya Kanada.[1][2]


Marejeo

hariri
  1. "BRIAN BORCHERDT - HAND DRAWN DRACULA".
  2. ""Call Me" (Blondie Cover)". Pitchfork (kwa American English). Iliwekwa mnamo 2022-03-31.
  Makala hii kuhusu mwanamuziki fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Brian Borcherdt kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.