Brick na Lace
Makala hii, au sehemu za makala hii, inahitaji vyanzo au marejeo yoyote. Tafadhali saidia kuboresha makala hii kwa kuweka vyanzo vya kuaminika. Habari zisizowekewa vyanzo zinaweza kuwekewa alama na kuondolewa. (June 2019) |
Brick na Lace ni kikundi cha wanamuziki wanaoimba nyimbo aina ya R&B na raga kutoka nchini Jamaika. Awali kikundi hiki kiliundwa na wanadada watatu walio ndugu, Tasha, Nyanda na Nailah Thourborne. Baadaye Tasha alijitoa na kuwa mtunzi tu wa nyimbo za kikundi hiki. Kikundi kimesaini mkataba na studio kadhaa za kurekodi muziki za Kon Live Distribution, 180 Entertainment, na Geffen Records.
Brick na Lace | |
---|---|
Jina Kamili | {{{jina kamili}}} |
Jina la kisanii | Brick na Lace |
Nchi | Jamaika |
Aina ya muziki | R&B na Raga |
Miaka ya kazi | 2000 - Mpaka leo |
Ameshirikiana na | Nicole Scherzinger |
Ala | Sauti |
Kampuni | Kon Live Distribution 180 Entertainment Geffen Records |
Wasifu
haririMaisha ya awali
haririNyanda na Nailah Thourborne walizaliwa mjini Kingston, Jamaika, na baba Mjamaika na mama Mwamerika mweupe. Toka hapo awali wanandugu hawa walikuwa wakidai kwamba wao wanataka kuwa wanamuziki, huku wakijitamba kwamba wao ni masuriama. Wandugu hao pia waliwahi kuonekana katika baadhi ya tepu za nyimbo mchanganyiko kabla ya kubahatika kuingia mkataba na 180 Entertainment, na baadae kwa Akon, Kon Live Distribution.
Kikundi hiki kimefanya ziara za kimuziki katika nchi mbalimbali ikiwamo nchi za Afrika kama vile Malawi, Kenya, Nigeria, Uganda, Senegal, Tanzania, Zambia and Zimbabwe.[1][2]
Albamu na nyimbo maarufu
haririKasha | Maelezo |
---|---|
Love Is Wicked
|
Nyimbo maarufu
hariri- Never Never
- Never, Never (Remix)
- Love Is Wicked
- Get That Clear
Nyimbo walioshirikishwa
hariri- Puakenikeni (Nicole Scherzinger akish. Brick na Lace)[3]
Diskographia
haririAlbamɯ
haririYear | Album | Peak chart positions | Certifications | ||||||
---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|
US | FRA[4] | POL | AUT | SWI[4] | FIN | BEL | |||
2007 | Love Is Wicked
|
- | 80 | 14 | - | 93 | - | 25 |
Singles
haririYear | Title | Chart Positions | Album | |||||||
---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|
BEL | FR | POR | POL | FIN | NOR | SWE | SWI | |||
2006 | "Get That Clear (Hold Up)" | — | — | — | — | — | — | — | 23 | Love Is Wicked |
2007 | "Love Is Wicked" | 44[7] | 4[7] | 2 | 14 | 6[7] | 13[7] | 27[7] | 63[7] | |
"Never Never" | — | — | — | — | 14[8] | — | — | — | ||
2008 | "Take Me Back" | — | — | — | — | — | — | — | — | |
2009 | "Bad to Di Bone" | — | — | — | — | — | — | — | — | |
2011 | "In Love With The Music (ft Golden Crew)" | — | — | — | — | — | — | — | — | |
2012 | "This Time (ft Kizzo)" | — | — | — | — | — | — | — | — | |
"How I Like It (ft Remady)" | — | — | — | — | — | — | — | — | ||
2013 | "Club Saved My Life (ft Wally Lopez & J. Balvin)" | — | — | — | — | — | — | — | — | |
2014 | "Heart Beat" | — | — | — | — | — | — | — | — |
Marejeo
hariri- ↑ Ghana Uganda: What It Took to Get Brick & Lace On Stage. The Monitor (Kampala) 4 January 2008
- ↑ History of Brick & Lace. Guardian. 24 Mar 2008
- ↑ Nicole Scherzinger feat. Brick & Lace - Puakenikeni, iliwekwa mnamo 2022-12-01
- ↑ 4.0 4.1 "Archived copy". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2016-03-08. Iliwekwa mnamo 2015-12-23.
{{cite web}}
: Unknown parameter|deadurl=
ignored (|url-status=
suggested) (help)CS1 maint: archived copy as title (link) - ↑ "Archived copy". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2013-09-03. Iliwekwa mnamo 2013-09-08.
{{cite web}}
: Unknown parameter|deadurl=
ignored (|url-status=
suggested) (help)CS1 maint: archived copy as title (link) - ↑ "Archived copy". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2013-03-27. Iliwekwa mnamo 2013-03-09.
{{cite web}}
: Unknown parameter|deadurl=
ignored (|url-status=
suggested) (help)CS1 maint: archived copy as title (link) - ↑ 7.0 7.1 7.2 7.3 7.4 7.5 "Archived copy". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2016-03-07. Iliwekwa mnamo 2015-12-23.
{{cite web}}
: Unknown parameter|deadurl=
ignored (|url-status=
suggested) (help)CS1 maint: archived copy as title (link) - ↑ "Archived copy". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2016-03-07. Iliwekwa mnamo 2015-12-23.
{{cite web}}
: Unknown parameter|deadurl=
ignored (|url-status=
suggested) (help)CS1 maint: archived copy as title (link)
Vingo vya nje
hariri- Brick na Lace katika tovuti ya Geffen Archived 13 Novemba 2008 at the Wayback Machine.
- Brick na Lace katika MySpace
- Mashairi ya Brick na Lace Archived 18 Januari 2008 at the Wayback Machine.
- Brick na Lace wakihojiwa na Rashmi Shastri Archived 14 Oktoba 2007 at the Wayback Machine.
- Brick & Lace Archived 6 Septemba 2017 at the Wayback Machine. Info
- Tovuti rasmi ya mashabiki wa Brick na Lace Archived 9 Januari 2008 at the Wayback Machine.