Bruce Onobrakpeya
Bruce Obomeyoma Onobrakpeya (30 Agosti 1932) ni mchapishaji, mchoraji na mchongaji kutoka Nigeria.Onobrakpeya ameonyesha maonyesho ya sanaa huko Tate Modern London, makumbusho ya kitaifa ya sanaa ya kiafrika ya taasisi ya Smithsonian huko Washington, D.C., na Malmö Konsthall huko Malmö, Uswidi. [1]
Marejeo
hariri- ↑ "Bruce Onobrakpeya". Modern African Art. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 29 Januari 2008. Iliwekwa mnamo 22 Mei 2011.
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Bruce Onobrakpeya kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |