30 Agosti
tarehe
Jul - Agosti - Sep | ||||||
1 | 2 | 3 | 4 | 5 | 6 | 7 |
8 | 9 | 10 | 11 | 12 | 13 | 14 |
15 | 16 | 17 | 18 | 19 | 20 | 21 |
22 | 23 | 24 | 25 | 26 | 27 | 28 |
29 | 30 | 31 | ||||
Kalenda ya Gregori |
Tarehe 30 Agosti ni siku ya 242 ya mwaka (ya 243 katika miaka mirefu). Mpaka uishe zinabaki siku 123.
Matukio
hariri- 1464 - Uchaguzi wa Papa Paulo II
- 1991 - Nchi ya Azerbaijan inatangaza uhuru wake kutoka Umoja wa Kisovyeti
Waliozaliwa
hariri- 1852 - Jacobus Henricus van 't Hoff, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia mwaka wa 1901
- 1871 - Ernest Rutherford, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia mwaka wa 1908
- 1884 - Theodor Svedberg, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia mwaka wa 1926
- 1912 - Edward Purcell, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 1952
- 1951 - Khamis Suedi Kagasheki, mwanasiasa kutoka Tanzania
- 1979 - Kali Ongala, mchezaji mpira kutoka Tanzania
Waliofariki
hariri- 1181 - Papa Alexander III
- 1428 - Shoko, mfalme mkuu wa Japani (1412-1428)
- 1588 - Mtakatifu Margaret Ward, mfiadini nchini Uingereza
- 1928 - Wilhelm Wien, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 1911
- 1940 - Joseph John Thomson, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 1906
- 2003 - Charles Bronson, mwigizaji wa filamu kutoka Marekani
- 2006 - Nagib Mahfuz, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi mwaka wa 1988
- 2013 - Seamus Heaney, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi mwaka wa 1995
Sikukuu
haririWakristo wengi, wakifuata mapokeo ya Roma, huadhimisha kumbukumbu za watakatifu Felisi na Adauti, Wafiadini wa Sufetula, Pamaki wa Roma, Ajilo, Fiakri, Fantino Kijana, Bononi, Petro wa Trevi, Margaret Ward, Roza Eluvathingal n.k.
Viungo vya nje
hariri- BBC: On This Day Archived 6 Aprili 2023 at the Wayback Machine.
- On This Day in Canada Archived 2012-12-09 at Archive.today
Makala hii kuhusu mambo ya kihistoria bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu 30 Agosti kama enzi zake au matokeo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |