Bruce Spence
Bruce Spence (alizaliwa 17 Septemba, 1945) ni mwigizaji wa filamu wa Australia mwenye asili ya New Zealand.
Bruce Spence | |
---|---|
Bruce Spence | |
Amezaliwa | 17 Septemba, 1945 |
Kazi yake | mwigizaji wa filamu wa Australia mwenye asili ya New Zealand. |
Maisha
haririSpence alizaliwa huko Auckland, New Zealand na alihudhuria Shule ya High Henderson huko West Auckland na alihitimu mwaka 1963. Yeye alijulikana zaidi alipoigiza filamu ya Gyro katika Mad Max 2, na kama Zeddicus Zu'l Zorander katika Legend ya Seeker. Alishinda tuzo ya AFI kuwa best old actor mwaka 2004.
Makala hii kuhusu mwigizaji filamu fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Bruce Spence kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |