Bruno Tarimo

bondia wa Tanzania

Bruno Melkiory Tarimo (amezaliwa Rombo, mkoa wa Kilimanjaro, Tanzania, Juni 16, 1995) ni bondia mahiri wa Kitanzania na Bingwa wa sasa wa taji la Kimataifa la Shirikisho la Ndondi la Kimataifa na taji la Chama cha Ndondi Duniani la Oceania Super Feather. Tarimo anaishi Southport, Queensland, Australia.


Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Bruno Tarimo kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.