Buenos Aires (kwa Kihisp.: "upepo mzuri") ni mji mkuu pia mji mkubwa wa Argentina wenye wakazi 2,776,234.

Jiji la Buenos Aires
Nchi Argentina
Jengo la Catalinas Norte

Mji uko kando ya Río de la Plata kwenye pwani ya mashariki ya Amerika Kusini kwa 34°36′S na 58°23′W. Magharibi kwa Buenos Aires zinaanza tambarare zenye rutuba za pampa.

Barabara ya Avenida de Mayo

Viungo vya nje

hariri
 
WikiMedia Commons
Wikimedia Commons ina media kuhusu:

Tovuti za magazeti ya Buenos Aires

hariri
  Makala hii kuhusu maeneo ya Argentina bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Buenos Aires kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.