Bugongi, Sheema, Uganda


318

Bugongi ni mji uliopo mashariki mwa Uganda. Ni kitovu cha mji katika wilaya ya Sheema.

Majiranukta: 00°38′08″S 30°15′10″E / 0.63556°S 30.25278°E / -0.63556; 30.25278
Country Uganda
Mikoa Mkoa wa Magharibi
Mkoa mdogo
Wilaya Wilaya ya Sheema
Serikali
 - Mayor
Mwinuko
Idadi ya wakazi (2014 Census)
 - Wakazi kwa ujumla 11,547
Ramani ya Uganda

Mahali

hariri

Mji huu upo kandokando ya barabara ya Kabwohe-Kitanga nchini Uganda, takribani kilomita 17 kwa barabara, kusini mashariki mwa manispaa ya Sheema, ambapo makao makuu ya wilaya yapo.[1] Hii ni takribani kilomita 13, kwa barabara, kaskazini mashariki mwa Kitagata.[2] Majira nukta ya mji huu ni: 0°38'08.0"S, 30°15'10.0"E (Latitude:-0.635556; Longitude:30.252778). Bugongi ipo katika mwinuko wa wastani wa mita 1545, kutoka usawa wa bahari.[3]

Maelezo ya jumla

hariri

Manispaa ya mji wa Bugongi ina ukubwa wa kilomita za mraba 36.3 au ekari 9,000. upo kado kando ya barabara ya vumbi yenye urefu wa kilomita 30 inayounganisha Mbarara–Ishaka hadi barabara ya Ishaka–Kagamba.[4] Raisi wa Uganda, Yoweri Museveni, katika tukio zaidi ya moja, aliahidi kuiwekea lami barabara inayopita Bugongi na kuhudumia mitaa yakea.[5][6]

Idadi ya watu

hariri

Sensa ya watu na makazi ya iliyofanyika Agosti 2014, iliiorodhesha halmashauri ya mji wa Bugogi kuwa ina idadi ya watu wapatao 11,547, ambapo 5,995 (51.9%) ni wanawake na 5,552 (48.1%) walikuwa ni wanaume. Wakati huo, idadi ya watu katika mji ilikuwa 318/km2 (820/sq mi).[7]

Marejeo

hariri
  1. Globefeed.com (9 Agosti 2018). "Distance between Kabwohe, Uganda and Bugongi, Uganda". Globefeed.com. Iliwekwa mnamo 9 Agosti 2018.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  2. Globefeed.com (9 Agosti 2018). "Distance between Bugongi, Uganda and Kitagata, Uganda". Globefeed.com. Iliwekwa mnamo 9 Agosti 2018.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  3. Geoview (9 Agosti 2018). "Elevation of Bugongi, Sheema, Uganda". Geoview.Info. Iliwekwa mnamo 9 Agosti 2018.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  4. Globefeed.com (9 Agosti 2018). "Distance between Kabwohe, Uganda and Kitagata, Uganda". Globefeed.com. Iliwekwa mnamo 9 Agosti 2018.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  5. Alfred Tumushabe, and Colleb Mugume (14 Januari 2016). "Museveni to tarmac Sheema roads, compensate Muslims" (Cached from the Original). Daily Monitor. Kampala. Iliwekwa mnamo 9 Agosti 2018.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  6. Administrator (20 Julai 2018). "Museveni Campaigns For Elioda In Sheema". New Vision. Kampala. Iliwekwa mnamo 9 Agosti 2018.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  7. Uganda Bureau of Statistics (Novemba 2014). "National Population and Housing Census 2014: Subcounty Report: Western Region: Sheema District" (PDF). Kampala: Uganda Bureau of Statistics. uk. 329. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo (PDF) mnamo 2016-11-13. Iliwekwa mnamo 9 Agosti 2018. {{cite web}}: More than one of |accessdate= na |access-date= specified (help)CS1 maint: date auto-translated (link)