Bugs Bunny
Bugs Bunny ni mshindi wa Tuzo za Akademi, akiwa kama sungura-katuni bora aliyecheza kwenye mfululizo wa Looney Tunes na Merrie Melodies wa Warner Bros. Amejijengea umaarufu na kimsemo chake cha "What's up, Doc?" iliokuwa maarufu sana mwanzoni mwa miaka ya 1940.
Bugs Bunny | |
---|---|
Bugs Bunny akitafuna karoti. | |
Mwonekano wa kwanza | A Wild Hare (1940) (mwonekano kwanza rasmi) |
Ameumbwa na | Tex Avery (muhusika) |
Ametiwa sauti na | Mel Blanc (halisi) Tazama Waliogiza sauti zake |
Anaonekana kama muhusika matata sana, akiwa na karoti mdomoni mwake. Mgovi wake siku zote ni Daffy Duck, ambaye mara nyingi huzozananaye.
Soma zaidi
hariri- Bugs Bunny: 50 Years and Only One Grey Hare, by Joe Adamson (1990), Henry Holt, ISBN 0-8050-1855-7
- Looney Tunes and Merrie Melodies, by Jerry Beck and Will Friedwald (1989), Henry Holt, ISBN 0-8050-0894-2
- Chuck Amuck : The Life and Times of an Animated Cartoonist by Chuck Jones, published by Farrar Straus & Giroux, ISBN 0-374-12348-9
- That's Not All, Folks! by Mel Blanc, Philip Bashe. Warner Books, ISBN 0-446-39089-5 (Softcover) ISBN 0-446-51244-3 (Hardcover)
- Of Mice and Magic: A History of American Animated Cartoons, Leonard Maltin, Revised Edition 1987, Plume ISBN 0-452-25993-2 (Softcover) ISBN 0-613-64753-X (Hardcover)
Viungo vya Nje
haririWikimedia Commons ina media kuhusu:
Wikiquote ina mkusanyiko wa dondoo kuhusu:
Makala hii kuhusu mwigizaji filamu fulani wa Marekani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Bugs Bunny kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |