Mel Blanc
Melvin Jerome "Mel" Blanc (30 Mei 1908 – 10 Julai 1989) alikuwa mwigizaji wa sauti na mchekeshaji kutoka nchini Marekani. Ingawa alianza shughuli zake katika makumi sita yaliyopita akiwa kama mfanyakazi wa redio, Blanc anafahamika sana kwa kufanyakazi na Warner Bros. wakati wa zama ziitwazo "Zama za Dhahabu ya Katuni za Marekani" (na kisha baadaye alifanyakazi za matayarisho ya televisheni na Hanna-Barbera) akiwa kama mwigizaji wa sauti ya Bugs Bunny, Daffy Duck, Porky Pig, Sylvester the Cat, Beaky Buzzard, Tweety Bird, Foghorn Leghorn, Yosemite Sam, Wile E. Coyote, Barney Rubble, Mr. Spacely, na mamia wengine kadhaa. Ana jina la utani kama “Mtu Mwenye Maelfu ya Sauti,” Blanc anatazamika kama mmoja kati ya watu wenye athira kubwa ya kazi zake.[1]
Mel Blanc | |
---|---|
Blanc mnamo 1976. | |
Amezaliwa | Melvin Jerome Blank 30 Mei 1908 San Francisco, California, Marekani |
Amekufa | 10 Julai 1989 Los Angeles, California, Marekani |
Kazi yake | Mwigizaji wa sauti, Mburudishaji |
Miaka ya kazi | 1927–1989 |
Ndoa | Estelle Rosenbaum (1933–1989) |
Watoto | Noel Blanc |
Marejeo
haririBibliografia
hariri- That's Not All, Folks!, 1988 by Mel Blanc, Philip Bashe. Warner Books, ISBN 0-446-39089-5 (Softcover), ISBN 0-446-51244-3 (Hardcover)
- Terrace, Vincent. Radio Programs, 1924–1984. Jefferson, NC: McFarland, 1999. ISBN 0-7864-0351-9
Viungo vya Nje
hariri- Mel Blanc at the Internet Movie Database
- Warner Bros. Animation Chronology Ilihifadhiwa 14 Oktoba 2006 kwenye Wayback Machine.
- Toonopedia article about Mel Blanc
- "Speechless" lithograph Ilihifadhiwa 23 Julai 2008 kwenye Wayback Machine.
- Mel Blanc katika Find A Grave
Makala hii kuhusu mwigizaji filamu fulani wa Marekani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mel Blanc kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |