Ziwa Kivu ni moja kati ya Maziwa makubwa ya Afrika. Liko mpakani kati ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo na Rwanda, katika tawi la magharibi la Bonde la Ufa.

Ziwa Kivu
Picha ya ziwa kutoka angani (kwa ruhusa ya NASA).
Anwani ya kijiografia 2°0′S 29°0′E / 2.000°S 29.000°E / -2.000; 29.000Coordinates: 2°0′S 29°0′E / 2.000°S 29.000°E / -2.000; 29.000
Aina ya ziwa Rift Valley lakes, Meromictic
Mito ya kutoka Ruzizi River
beseni 2,700 km2 (1,000 sq mi)
Nchi za beseni Rwanda, Democratic Republic of the Congo
Urefu 89 km (55 mi)[1]
Upana 48 km (30 mi)[1]
Eneo la maji 2,700 km2 (1,040 sq mi)[1]
Kina cha wastani 240 m (787 ft)
Kina kikubwa 480 m (1,575 ft)
Mjao 500 km3 (120 cu mi)
Kimo cha uso wa maji juu ya UB 1,460 m (4,790 ft)
Visiwa Idjwi
Miji mikubwa ufukoni Goma, Congo
Bukavu, Congo
Kibuye, Rwanda
Cyangugu, Rwanda
Ziwa Kivu likiwa na mji wa Goma kwa nyuma, Kongo.
Watu ufukoni mwa Gisenyi, Rwanda.

Maji yake yanatoka kupitia mto Ruzizi unaoelekea kusini hadi ziwa Tanganyika.

Tanbihi hariri

Viungo vya nje hariri

 
Wikimedia Commons ina media kuhusu: