Bulo, Uganda
Bulo ni makazi katika wilaya ya Butambala katika Mkoa wa Kati huko Uganda.
Mahali hariri
Makazi yako katika parokia ya Bulo, Kaunti ndogo ya Bulo, ikiwa ni moja ya parokia saba katika kitengo hicho cha utawala.[1]
Marejeo hariri
- ↑ LCMT (30 January 2020). "Parishes in Bulo Subcounty, Butambala District, Uganda". Land Conflict Mapping Tool (LCMT). Iliwekwa mnamo 30 January 2020. Check date values in:
|date=, |accessdate=
(help)
Makala hii kuhusu maeneo ya Uganda bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Bulo, Uganda kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |