Bunda
Bunda ni mji mdogo na makao makuu ya Wilaya ya Bunda katika Mkoa wa Mara, Tanzania. Eneo la mji linajumlisha kata za Balili, Bunda Mjini, Bunda Stoo na Nyasura. Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mwaka wa 2012, kata za mji wa Bunda zina wakazi wapatao 63,001 waishio humo. [1]
Mji wa Bunda | |
Mahali pa Bunda katika Tanzania |
|
Majiranukta: 2°1′12″S 33°52′16″E / 2.02000°S 33.87111°E | |
Nchi | Tanzania |
---|---|
Mkoa | Mara |
Wilaya | Bunda |
Idadi ya wakazi | |
- Wakazi kwa ujumla | 63,001 |
Msimbo wa posta | 31501 hadi 31504 |
Marejeo
hariri- ↑ "Repoti Kuu ya Hesabu ya Sensa ya Watu na Makazi kwa Mwaka wa 2002" (kwa Kiingereza). Serikali ya Tanzania. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2003-12-17.
Kata za Wilaya ya Bunda Vijijini - Mkoa wa Mara - Tanzania | ||
---|---|---|
Butimba | Chitengule | Hunyari | Igundu | Iramba | Kasuguti | Ketare | Kibara | Kisorya | Mihingo | Mugeta | Namhula | Nampindi | Nyamihyoro| Nansimo | Neruma | Nyamang'uta | Nyamuswa | Salama |
Makala hii kuhusu maeneo ya Mkoa wa Mara bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Bunda kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. Usiingize majina ya viongozi au maafisa wa sasa maana wanabadilika haraka mno. |