Buton ni kisiwa cha Indonesia. Kiko upande wa kusini-mashariki wa kisiwa cha Sulawesi. Eneo la kisiwa ni 4408 km². Mji mkubwa kabisa kisiwani huitwa Bau-Bau. Mwaka wa 2010 idadi ya watu kisiwani imehesabiwa kuwa 447,408. Watu wakaao kisiwani kwa Buton huongea lugha mbalimbali, miongoni mwao Kiwolio na Kicia-Cia.

Sampolawa_Bay Katika Kisiwa cha,Buton
Makala hii kuhusu eneo fulani bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu eneo hilo kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Je, unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.


Usitaje majina ya madiwani na viongozi au maafisa wengine wa sasa maana wanabadilika haraka mno.