Kiwolio ni lugha ya Kiaustronesia nchini Indonesia na Malaysia inayozungumzwa na Wawolio kwenye kisiwa cha Buton na penginepo mpakani kwa nchi hizo mbili. Mwaka wa 2004 idadi ya wasemaji wa Kiwolio nchini Indonesia imehesabiwa kuwa watu 65,000. Pia kuna wasemaji 520 tu nchini Malaysia (1999). Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kiwolio iko katika kundi la Kicelebiki.

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kiwolio kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.