Bwamiramira
Bwamiramira ni mji wa Uganda unaopatikana mkoa wa Buyanja, Wilaya ya Kibaale, mji mdogo wa Bunyoro, mkoa wa mashariki, Uganda. Takribani kilomita 5 kwa barabara, magharibi mwa mji wa Kibaale, ambako makao makuu yalipo. Takribani umbali wa kilomita 216, kwa barabara magharibi mwa Kampala, makao makuu ya Uganda na jiji kubwa.
Makala hii kuhusu maeneo ya Uganda bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Bwamiramira kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |