Bwilingu ni kata ya Wilaya ya Chalinze katika Mkoa wa Pwani, Tanzania na sehemu ya mji mdogo wa Chalinze yenye postikodi namba 61315 [1]. Wakati wa sensa iliyofanyika mwaka wa 2012, kata ilikuwa na wakazi wapatao 35,149 [2] walioishi humo.

Bwilingu ni sehemu asilia ya mji wa Chalinze karibu na njiapanda ambayo ni kiunganishi cha barabara kuu za A14 kwenda kaskazini na A7 kwenda Iringa.

MarejeoEdit

  Kata za Wilaya ya Chalinze - Mkoa wa Pwani - Tanzania  

Bwilingu | Kibindu | Kimange | Kiwangwa | Lugoba | Mandera | Mbwewe | Miono | Mkange | Msata | Msoga | Pera | Talawanda | Ubenazomozi | Vigwaza


  Makala hii kuhusu maeneo ya Mkoa wa Pwani bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Bwilingu kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
Tafadhali usiingize majina ya maafisa au viongozi wa sasa maana wanabadilika mno.