By My Side
"By My Side" ni single ya kwanza ya rapa Jadakiss kutoka katika albamu yake ya tatu ya The Last Kiss. Wimbo ulitayarishwa na Eric Hudson na umemshirikisha mwimbaji wa R&B Ne-Yo. Ilipatwa kupigwa sana kwenye maredio na TV ingawa haikufika hata kidogo kwenye chati za Billboard Hot 100.
“By My Side” | |||||
---|---|---|---|---|---|
Single ya Jadakiss akimshirikisha Ne-Yo kutoka katika albamu ya The Last Kiss | |||||
Imetolewa | 7 Oktoba 2008 | ||||
Muundo | Digital download | ||||
Aina | Hip Hop, Rap, Pop rap, R&B | ||||
Urefu | 3:27 | ||||
Studio | Ruff Ryders/Def Jam | ||||
Mtayarishaji | Eric Hudson | ||||
Mwenendo wa single za Jada Kiss | |||||
|
Muziki wa video
haririMuziki wa video ulitolewa mnamo tar. 13 Novemba 2008. Iliongozwa na Ray Kay, na ilipata kupigwa ajabu kwenye BET, MTV, VH1, MTV Hits na kwenye MTV Jams.
Chati zake
haririChati (2008) | Nafasi iliyoshika |
---|---|
U.S. Billboard Hot R&B/Hip-Hop Songs | 53 |
U.S. Bilboard Hot Rap Tracks | 16 |
Viungo vya Nje
hariri
Makala hii kuhusu mambo ya muziki bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu By My Side kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |