Byureghavan (kwa Kiarmenia: Բյուրեղավան, pia unajulikana kwa herufi za Kirumi kama Byuregavan na Bureghavan) ni mji uliopo nchini Armenia kwenye mkoa wa Kotayk.

Mji wa Byureghavan

Mji una wakazi takribani 7,000.

Mji ulianzishwa mnamo mwaka 1945. Kuna kiwanda cha kukata vioo, ambacho jina lake linatokana na mji huo.

Marejeo hariri

  Makala hii kuhusu maeneo ya Armenia bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Byureghavan kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.