Cédric Zesiger
Mchezaji wa chama cha soka cha Uswizi (aliyezaliwa 1998)
Cédric Adrian Zesiger (alizaliwa 24 Juni 1998)[1] ni mchezaji wa mpira wa miguu kutoka Uswisi, ambaye anacheza kama beki katika klabu ya VfL Wolfsburg inayoshiriki Bundesliga ya Ujerumani na timu ya taifa ya Uswisi.
Marejeo
hariri- ↑ "Cédric Adrian Zesiger | VfL Wolfsburg | Player Profile | Bundesliga". bundesliga.com - the official Bundesliga website (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 2024-06-29.
Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Cédric Zesiger kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |