Wavinsenti
(Elekezwa kutoka C.M.)
Wavinsenti ni Wakristo wa Kanisa Katoliki na wa Ushirika wa Anglikana wanaofuata karama, mafundisho na mfano vya Vinsenti wa Paulo, padri wa karne ya 17 aliyebadili sura ya nchi yake, Ufaransa, hasa kwa kuhudumia kwa upendo watu fukara.
Ni kati ya familia za kiroho kubwa zaidi duniani.
Tanbihi
haririViungo vya nje
hariri- St Vincent de Paul Society Wellington
- Vincentian Marian Youth International Ilihifadhiwa 9 Machi 2021 kwenye Wayback Machine.
- AIC International
- Congregation of the Mission
- Vincentian Academy -- International Baccalaureate Programme Ilihifadhiwa 13 Oktoba 2007 kwenye Wayback Machine.
- Daughters of Charity
- Vincentian Family News
- Vincentian Lay Missionaries Ilihifadhiwa 22 Juni 2020 kwenye Wayback Machine.
- Vincentian Mission Corps
Makala hii kuhusu dini ya Ukristo bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Wavinsenti kama historia yake, matokeo au athari zake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |