CHAVITA ni kifupi cha Chama cha Viziwi Tanzania.[1]

Makao makuu ni Dar es Salaam na ina matawi katika mikoa 17.[2]

Historia

hariri

CHAVITA ilianzishwa mnamo mwaka 1984 ikiwa na lengo la kuboresha maisha ya viziwi.

Marejeo

hariri
  1. https://chavita.or.tz/
  2. https://chavita.or.tz/en/about.php