CMC P350 Hybrid ni gari kutoka Taiwan. Ina mota ya stima, inaweza kuendeshwa na betri au injini ya petroli.

Kampuni: CMC
Aina: P350 Hybrid
Picha ya CMC P350 Hybrid
Inchi za Kuzalisha Taiwan
Abiria: 3
Injini: Stima na Petroli, Silinda 4
Upana: 1.87m
Urefu: 5.23m
Urefu wa Juu: 1.95m
Uzito: 3490kg

Viungo vya nje

hariri