Cherchell
(Elekezwa kutoka Caesarea, Numidia)
Cherchell ni mji uliopo Algeria katika pwani ya Mediteranea, kilomita 89 magharibi mwa Algiers.
Ni mji mkuu katika wilaya ya Cherchell, mkoa wa Tipaza. Mji huo uliitwa kwa majina ya Iol na Iol na Caesarea, ulikuwa koloni la Roma na mji mkuu wa ufalme wa Numidia na Mauretania.
Marejeo
haririMakala hii kuhusu maeneo ya Algeria bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Cherchell kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |