Calaigh Copland
Calaigh Copland (amezaliwa 12 Machi 1987) ni mchezaji wa mpira wa miguu anayecheza katika timu ya Unionville Milliken SC kwenye ligi ya kwanza Ontario ya wanawake. Alizaliwa nchini Kanada, lakini aliwakilisha timu ya taifa ya wanawake ya Guyana katika kiwango cha kimataifa.[1][2][3]
Marejeo
hariri- ↑ Davies, Mike (Januari 21, 2016). "Peterborough soccer player playing with Team Guyana at Olympic qualifiers". The Peterborough Examiner.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ "Blodgett and Copland score twice for Peterborough". Peterborough This Week. Julai 11, 2008.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ "Copland and Gilson score in women's debut". Peterborough This Week. Mei 27, 2009.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Calaigh Copland kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |