Calif Records
Makala hii au sehemu ya makala hii inahitaji masahihisho kwa upande mmoja wa zifuatazo:
|
Makala haina vyanzo vya kutosha
Makala (au sehemu ifuatayo ya makala) inatoa habari bila kuonyesha vyanzo au uthibitisho wowote.
|
Calif Records ni studio ya Kenya yenye makao yake katika mtaa wa California mjini Nairobi.
Calif Records |
---|
Inajulikana kuwa msingi wa Genge, aina ya muziki iliyopendwa na vijana.
Ilianzishwa mwaka 2000 na mtendaji wa rekodi & mtayarishaji Clement "clemo" rapudo pamoja na rafiki yake wa utotoni Paul Nunda anayejulikana kama Juacali (kwa sasa ni msanii maarufu Kenya). Ni kati ya studio mbili za muziki zinazoongoza nchini Kenya, hiyo nyingine ikiwa Ogopa Djs.
Orodha ya wasanii
haririOrodha ya wasanii ambao wamejisajili katika Calif Records kwa wasifu wa muziki yao
Marejeo
haririViungo vya nje
hariri- Calif records Tovuti rasmi Ilihifadhiwa 17 Desemba 2007 kwenye Wayback Machine.