Calw (matamshi ya Kijerumani: [kalf]; awali [kalp] na wakati mwingine Kalb kwa usahihi) ni mji katikati ya Baden-Württemberg kusini mwa Ujerumani ambao ni wilaya kuu na kubwa.

Nembo
Nembo

Iko katika Black Forest, kilomita 18 kusini mwa Pforzheim na kilomita 33 magharibi mwa Stuttgart.

Ina kiwango kama cha Kreisstad.

Makala hii kuhusu maeneo ya Ujerumani bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Calw kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.