Boston, Massachusetts
Boston ndiyo mji mkuu katika jimbo la Massachusetts. Mji una wakazi wapatao 7,514,759 na hiyo ni kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mwaka wa 2007.
Boston | |||
| |||
Mahali pa mji wa Boston katika Marekani |
|||
Majiranukta: 42°19′18″N 71°5′21″W / 42.32167°N 71.08917°W | |||
Nchi | Marekani | ||
---|---|---|---|
Jimbo | Massachusetts | ||
Wilaya | Suffolk | ||
Idadi ya wakazi | |||
- Wakazi kwa ujumla | 608,352 | ||
Tovuti: www.cityofboston.gov |
Mji uko futi 141 juu ya usawa wa bahari.
Historia
haririMji ulianzishwa tarehe 17 Septemba katika mwaka wa 1630.
Boston iliundwa na walowezi Waprotestanti kutoka Uingereza waliotafuta uhuru wa kidini. Walichagua rasi ndogo kwenye pwani ya hori ya Massachusetts.
Mji ukakua kuwa mji mkubwa katika makoloni ya Uingereza katika Amerika ya Kaskazini.
Katika karne ya 18 Boston ulikuwa kitovu cha upinzani wa walowezi dhidi ya kodi mpya za Uingereza na vita ya uhuru wa Marekani ilianza hapa mjini na katika vijiji karibu nao.
Tazama pia
haririViungo vya Nje
hariri- City of Boston official website
- Greater Boston Chamber of Commerce
- Greater Boston Convention and Visitors Bureau
- Boston travel guide kutoka Wikisafiri
- The Boston Indicators Project Ilihifadhiwa 25 Oktoba 2005 kwenye Wayback Machine. from The Boston Foundation
- Open Space Plan 2002–2006 Ilihifadhiwa 12 Februari 2009 kwenye Wayback Machine. from the City of Boston official website
- Historical Maps of Boston Ilihifadhiwa 19 Mei 2009 kwenye Wayback Machine. from the Norman B. Leventhal Map Center at the Boston Public Library
- GIS Property Maps Ilihifadhiwa 5 Januari 2009 kwenye Wayback Machine. from MainStreetGIS
- Boston Streets: Mapping Directory Data Ilihifadhiwa 7 Aprili 2008 kwenye Wayback Machine. from Tufts University, with support from the Institute of Museum and Library Services and The Bostonian Society
- Maps of income, landfill growth, public transport, and squares from Radical Cartography
- Photographic atlas of historic sites throughout Boston Ilihifadhiwa 5 Januari 2009 kwenye Wayback Machine.
Miji mikuu ya majimbo ya Marekani |
---|
Alabama • Alaska • Arizona • Arkansas • California • Colorado • Connecticut • Delaware • Florida • Georgia • Hawaii • Idaho • Illinois • Indiana • Iowa • Kansas • Kentucky • Louisiana • Maine • Maryland • Massachusetts • Michigan • Minnesota • Mississippi • Missouri • Montana • Nebraska • Nevada • New Hampshire • New Jersey • New Mexico • New York • North Carolina • North Dakota • Ohio • Oklahoma • Oregon • Pennsylvania • Rhode Island • South Carolina • South Dakota • Tennessee • Texas • Utah • Vermont • Virginia • Washington • West Virginia • Wisconsin • Wyoming |
Makala hii kuhusu maeneo ya Massachusetts bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Boston, Massachusetts kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |