Cameron Diaz
Cameron Michelle Diaz (amezaliwa tar. 30 Agosti 1972) ni mwigizaji filamu wa Kimarekani. Mnamo mwezi Agosti, 2008, Gazeti la Forbes limemworodhesha Diaz kuwa kama mwigizaji wa kike anayelipwa pesa nyingi katika Hollywood.
Cameron Diaz | |||||||
---|---|---|---|---|---|---|---|
Diaz mnamo Julai 2010 | |||||||
Amezaliwa | 30 Agosti 1972 San Diego, California, Marekani | ||||||
Kazi yake | Mwanamitindo (1988-1993) Mwigizaji (1993-hadi leo) | ||||||
|
Ameripotiwa kupokea kiasi cha dola za Kimarekani zipatazo milioni 50 katika kipindi cha mwishoni mwa mwezi Juni 2008, kwa kucheza katika filamu ya What Happens in Vegas na katika mfululizo wa tatu wa filamu ya Shrek.[1][2][3][4][5]
Wasifu
haririMaisha ya awali
haririDiaz alizaliwa San Diego, California, binti wa Billie, Wakala wa kuuza na kununua kutoka nchi za nje na Emilio Diaz (1949 - 2008) ambaye alifanya kazi kampuni ya mafuta UNOCAL kwa miaka ishirini na zaidi mpaka alipostaafu mwaka 1998. Baba yake alikuwa Coban American. Babu na Bibi yake waliishi Tampa's Ybor City. Mama yake anajua kuongea Kiingereza na KIjerumani. Diaz ana dada yake mkubwa aitwaye Chimene Diaz ambaye alizaliwa 5 Juni 1970, San Diego.
Filamu alizocheza
haririMwaka | Filamu | Jina alilotumia | Maelezo na Tuzo |
---|---|---|---|
1994 | The Mask | Tina Carlyle | |
1995 | The Last Supper | Jude | |
1996 | She's the One | Heather | |
Feeling Minnesota | Freddie Clayton | ||
Head Above Water | Nathalie | ||
1997 | Keys to Tulsa | Trudy | |
My Best Friend's Wedding | Kimberly Wallace | ||
A Life Less Ordinary | Celine Naville | ||
1998 | Fear and Loathing in Las Vegas | Blonde TV Reporter | |
There's Something About Mary | Mary Jensen | ||
Very Bad Things | Laura Garrety | ||
1999 | Being John Malkovich | Lotte Schwartz | |
Any Given Sunday | Christina Pagniacci | ||
2000 | Things You Can Tell Just by Looking at Her | Carol Faber | |
Charlie's Angels | Natalie Cook | ||
2001 | The Invisible Circus | Faith | |
Shrek | Princess Fiona (voice) | ||
Vanilla Sky | Julianna 'Julie' Gianni | ||
2002 | The Sweetest Thing | Christina Walters | |
My Father's House | The Girl | ||
Minority Report | Woman on Metro | ||
Gangs of New York | Jenny Everdeane | ||
2003 | Shrek 4-D | Princess Fiona (voice) | |
Charlie's Angels: Full Throttle | Natalie Cook | ||
2004 | Shrek 2 | Princess Fiona (voice) | |
2005 | In Her Shoes | Maggie Feller | |
2006 | The Holiday | Amanda Woods | |
2007 | Shrek the Third | Princess Fiona (voice) | |
Shrek the Halls (TV) | Princess Fiona (voice) | ||
2008 | What Happens in Vegas | Joy McNally-Fuller | |
2009 | My Sister's Keeper | Sara Fitzgerald | post-production |
The Box | Norma Lewis | post-production | |
2010 | Shrek Goes Fourth | Princess Fiona (voice) | filming |
Marejeo
hariri- ↑ Rose, Lacy (7 Ago 2008). "Hollywood's Top-Earning Actresses". Forbes Magazine. Iliwekwa mnamo 2 Nov 2008.
{{cite web}}
: Cite has empty unknown parameter:|coauthors=
(help)CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ "Hollyscoop.com Top 5 list of Hollywood's highest paid actresses 2008". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2010-01-10. Iliwekwa mnamo 2008-12-24.
- ↑ "Latina.com Diaz-hollywoods-top-earning-actress". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2008-10-02. Iliwekwa mnamo 2008-12-24.
- ↑ "Only women to make it into top earners Adelaide Now News.com.AU". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2008-08-29. Iliwekwa mnamo 2008-08-29.
- ↑ "Small Bio & Quotes by Diaz". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2008-06-24. Iliwekwa mnamo 2008-12-24.
Viungo vya Nje
hariri- Cameron Diaz at the Internet Movie Database
- Cameron Diaz katika Yahoo! Movies
- Cameron Diaz katika Movies.com
- Cameron Diaz katika People.com
- Cameron Diaz Videos at Made of Stars
- California Births 1905-1995 Ilihifadhiwa 27 Aprili 2011 kwenye Wayback Machine.
- Video of Cameron Diaz in SNL's Cougar Den Skit from Google Search
Makala hii kuhusu mwigizaji filamu fulani wa Marekani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Cameron Diaz kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |