'

Camille Josephine Billops
AmezaliwaAgosti 12 1933
Los Angeles, California
AmefarikiJuni 1 2019
Kazi yakeMchoraji


Camille Josephine Billops (Agosti 12, 1933 - Juni 1, 2019) [1] ni mchoraji mtengenezaji filamu, mtafutaji nyaraka, wa michoro, pia ni mwalimu mwenye asili ya Afrika.

Maisha ya awali na elimu

hariri

Jacqueline Billops, alizaliwa huko Los Angeles, California, na wazazi Alma Gilmore, ambaye asili yake ilikuwa ni South Carolina, na Luscious Billops, ambaye asili yake ilikuwa ni Texas. Mama yake alikuwa mfumaji, na baba yake mpishi.[2] Walifanya kazi "huduma" kwa familia moja huko Beverly Hills, ambayo iliwasaidia kumudu kumpa elimu ya sekondari ya kibinafsi katika shule[3][4][5] ya Katoliki.

Kama msichana mdogo, alipenda kuchora na kuchezea seti yake ya upinde na mshale na mabunda.[6] Alianza kugundua sanaa yake kupitia ubunifu wa wazazi wake katika upishi na kutengeneza nguo.

Billops alihitimu mwaka 1960 kutoka Los Angeles State College, ambapo alisomea elimu kwa watoto wenye ulemavu wa mwili. Alipata shahada yake ya B.A. kutoka Chuo Kikuu cha California na shahada yake ya M.F.A. kutoka City College ya New York mwaka 1975.

Marejeo

hariri
  1. Greenberger, Alex (2019-06-03). "Camille Billops, Maker of Unflinching Documentary Films, Is Dead at 85". ARTnews (kwa American English). Iliwekwa mnamo 2019-06-04.
  2. "Nakala iliyohifadhiwa". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2023-06-28. Iliwekwa mnamo 2024-05-09. {{cite web}}: Unknown parameter |dead-url= ignored (|url-status= suggested) (help)
  3. http://www.thehistorymakers.com/biography/camille-billops-41
  4. Amy Marie Scott-Zerr (2015-08-10). "Camille Billops (1933-2019) •" (kwa American English). Iliwekwa mnamo 2024-05-09.
  5. Brownlee, Andrea Barnwell; Oliver, Valerie Cassel; Contemporary Arts Museum; Spelman College, whr. (2008). Cinema remixed & reloaded: Black women artists and the moving image since 1970 ; [exhibition was presented in two parts at the Spelman College Museum of Fine Art, in Atlanta (September 14-December 8, 2007 and January 24-May 24, 2008) and at the Contemporary Arts Museum Housteon (October 18, 2008-January 4, 2009)]. Houston, Tex: Contemporary Arts Museum. ISBN 978-0-295-98864-1.
  6. "NYARAKA NA PICHA MBALIMBALI", Peter DM Bwimbo: Mlinzi Mkuu wa Mwalimu Nyerere, Mkuki na Nyota Publishers, ku. 119–132, 2015-11-03, iliwekwa mnamo 2024-05-09
  Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Camille Billops kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.