Canarreos ni funguvisiwa la bahari ya Karibi kusini kwa Kuba.

Visiwa vyote ni kama 350 ambavyo kati yake kikubwa kabisa ni Isla de la Juventud.

Tanbihi hariri

  Makala hii kuhusu maeneo ya Bahari ya Karibi bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Canarreos kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.