Isla de la Juventud

Isla de la Juventud (zamani Isla de Pinos) ni kisiwa kikubwa kuliko vyote vya karibu na Kuba.

Kisiwa cha Isla de la Juventud

Kina eneo la kilometa mraba 2,419 na wakazi 86,420.

Tanbihi hariri

  Makala hii kuhusu maeneo ya Bahari ya Karibi bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Isla de la Juventud kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.