Captain America
Captain America ni mhusika katika kampuni ya utengenezaji filamu ya Marvel comics.
Aliyeigiza filamu ya Captain America anaitwa Chris Evans. Mhusika huyu ameigiza katika filamu mbalimbali kama vile Captain America The First Avenger, Captain America Civil War, Captain America the winter soldier n.k.
Mwigizaji huyu alipata umaarufu baada ya kuigiza filamu ya Captain America Civil War na avengers. Mwigizaji huyu katika filamu zake anaonekana kama shujaa kwa sababu ya kusaidia watu.
![]() |
Makala hii kuhusu filamu fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Captain America kama waigizaji wake, hadithi au matoleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |