Chris Evans
Christopher Evans (alizaliwa Boston, 13 Juni 1981) ni muigizaji wa Marekani anayejulikana sana kwa jina la "Captain America" kama shujaa katika filamu zake.
Chris Evans | |
---|---|
Chris Evans | |
Amezaliwa | 13 Juni 1981) |
Kazi yake | muigizaji wa Marekani anayejulikana sana kwa jina la "Captain America" kama shujaa katika filamu zake. |
Ni muigizaji ambaye anafanya kazi zake chini ya kampuni kubwa ya filamu duniani iitwayo "Marvel".
Alianza kazi zake za uigizaji mnamo mwaka 2000 ambapo aliigiza filamu iliyoitwa Opposite sex.
Mbali na filamu za kishujaa pia ameigiza filamu mbalimbali kama vile Gifted (2017), Sun shine (2007), Scott Pilgrim vs. the World (2010), Snowpiercer (2013) na nyingine nyingi.
Makala hii kuhusu mwigizaji filamu fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Chris Evans kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |