Carlo Rubbia

Carlo Rubbia (amezaliwa 31 Machi 1934) alikuwa mwanafizikia kutoka nchi ya Italia. Baadhi ya utafiti mwingine alichunguza usumaku wa sehemu za atomu. Mwaka wa 1984, pamoja na Simon van der Meer alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia.

Carlo Rubbia, 2005.
Tuzo Nobel.png
Scientist.svg Makala hii kuhusu mwanasayansi fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Carlo Rubbia kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.