Carlos Alberto Ricardo

Carlos Alberto Ricardo ni mwanamazingira kutoka Brazil. Ni mkurugenzi wa taasisi ya Instituto Socioambiental (ISA) huko Brazil.[1]

Alipewa Tuzo ya Mazingira ya Goldman mnamo 1992, kwa mchango wake katika sera ya mazingira nchini Brazil.[2]

Marejeo

hariri
  1. "Nakala iliyohifadhiwa". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2021-06-24. Iliwekwa mnamo 2021-06-24.
  2. "South & Central America 1992. Carlos Alberto Ricardo. Brazil. Environmental Policy". Goldman Environmental Prize. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 23 Novemba 2010. Iliwekwa mnamo 8 Januari 2011.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Carlos Alberto Ricardo kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.