Carlos Soler

Mchezaji wa chama cha soka cha Uhispania (Alizaliwa 1997)

Carlos Soler Barragán (alizaliwa 2 Januari 1997)[1][2] ni mchezaji wa mpira wa miguu kutoka Uhispania, ambaye anacheza kama kiungo katika klabu ya Paris Saint-Germain F.C. inayoshiriki Ligue 1 ya Ufaransa na timu ya taifa ya Uhispania.[3]

Soler akiwa na Valencia 2020

Marejeo

hariri
  1. https://fdp.fifa.org/assetspublic/ce4/pdf/SquadLists-English.pdf
  2. https://fdp.fifa.org/assetspublic/ce44/pdf/SquadLists-English.pdf
  3. "Spain get their groove back against Georgia". MARCA (kwa Kiingereza). 2021-09-05. Iliwekwa mnamo 2024-06-19.
  Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Carlos Soler kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.